Huduma Mbovu Mama Lucy Hospital | Podcast

Your browser doesn’t support HTML5 audio

Hospitali ya Mama Lucy, Nairobi ni kitovu cha huduma duni za afya: kuna msongamano wa wagonjwa hasa akina mama wanaojifungua, kutohudumiwa kwa haraka, ukosefu wa faragha na hata vifo kutokea. Mwanahabari wetu, Rosa Agutu amefanya uchunguzi na kubainisha uozo wenyewe katika Podcast hii.

Share this episode
Kijiji Cha Walemavu | Kisa Changu Podcast
Kijijini Namawanga, kilichoko eneo la Busunu Kaunti ya Bungoma kuna takriban familia 27 hivi. Kisic...
Why Health Insurance Matters for Kenyans
In this episode of Health and Wellness, we dive into the importance of health insurance in Kenya. Wh...
.
RECOMMENDED NEWS