Athari za Kutuma Maafisa wa Polisi Haiti

Your browser doesn’t support HTML5 audio

Hatua ya kuwatuma maafisa wa Polisi Haiti ni uamuzi usiokuwa wa hekima. Ni uamuzi ambao hauwezi kuelezwa kwa njia nyingine yoyote ile, isipokuwa kuonesha ubaraka kwa taifa la Marekani na washirika wake. Na hilo litakuja na athari zake mbovu kwa nchi.

Share this episode
Ruto Aambia Dunia KQ ni Ghali Kuliko Ndege Binafsi
Rais William Ruto amejitetea kuhusiana na hatua yake kutumia ndege ya kibinafsi kusafiri hadi nchini...
Why Health Insurance Matters for Kenyans
In this episode of Health and Wellness, we dive into the importance of health insurance in Kenya. Wh...
.
RECOMMENDED NEWS