Mgogoro wa Madaktari Unahatarisha Maisha ya Wengi

Your browser doesn’t support HTML5 audio

Mgomo wa madaktari umetimiza sasa siku 35, naam majuma matano. Hakuna mwafaka wowote wa aina yoyote, na mwananchi anayetegemea huduma za afya katika hospitali za umma ndiye anaumia. Nani atamjali raia huyu?

Share this episode
Nairobi Yazamishwa na Mafuriko: Serikali Iko Wapi?
Mvua inayonyesha nchini inaanika wazi upungufu wa serikali katika kujiandaa kwa ajili ya msimu wa mv...
Why Health Insurance Matters for Kenyans
In this episode of Health and Wellness, we dive into the importance of health insurance in Kenya. Wh...
.
RECOMMENDED NEWS