Mgomo wa Madaktari: Wananchi Waathirika, Suluhisho Lahitajika Haraka
Sepetuko
Mar. 25, 2024
Vitisho vinavyotolewa na Waziri wa Afya Susan Nakhumicha na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja dhidi ya madaktari wanaogoma si sahihi. Havitoi suluhisho kwa mgomo huu ambao umelemaza shughuli katika hospitali za umma nchini. Wanaoumia ni wananchi wanaotegemea huduma hizi na hawana pesa za kutafuta huduma katika hospitali binafsi. Serikali itafute suluhisho la kusitisha mgomo huu mara moja.
RELATED EPISODES
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
Bunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri Walioteuliwa